Skip to content

MICHE YA PARACHICHI (HASS)

Ubora na Mavuno Mengi!
Tsh 3000/=
Punguzo Kubwa kwa Oda za Jumla! Miche Bora ya Parachichi Aina ya Hass (Iliyounganishwa/Grafted)
✓ USAFIRI BURE KWA ODA YA MICHE 100 NA KUENDELEA!
Taarifa za Kitaalamu za Zao
  • Hali ya Hewa na Jua: Hustawi vizuri katika maeneo yenye miinuko na baridi kiasi kama vile Njombe, Iringa, Ruvuma, Mbeya, na maeneo mengine yenye hali ya hewa inayofanana na hiyo.. Pata miche bora ya parachichi aina ya Hass iliyoandaliwa kitaalamu kwa ajili ya kilimo cha kibiashara. Miche yetu haina magonjwa, inastahimili mabadiliko ya hali ya hewa, inaanza kuzaa mapema, na inakupa uhakika wa soko la ndani na nje ya nchi. Weka oda yako sasa.
  • Udongo na Upandaji: Hustawi vizuri kwenye udongo tifutifu (loam) unaopitisha maji kwa urahisi, wenye pH ya kati ya 5.5 na 6.5 na kina cha angalau mita 1 hadi 1.5. Nafasi inayopendekezwa Inashauriwa kupanda kwa nafasi ya mita 7 x 7 au mita 8 x 8 ili kuruhusu matawi kutanuka na kupata mwanga wa kutosha.
  • Ushauri Wakati wa Kuhamisha Shambani: Wakati wa kuhamisha mche (transplanting), tumia mbolea za asili kwenye mashimo. Inashauriwa kutumia virutubisho vya kuchochea ukuaji wa mizizi kama Booster Power Jelly ili kuzuia mche kushtuka (transplant shock).
  • Usafirishaji: Tunatuma miche mikoa yote kwa uaminifu wa hali ya juu.
*Kumbuka: Bei ya miche inazidi kupungua kadiri oda yako inavyokuwa kubwa. Kwa Nini Uchague Miche Yetu ya Hass? Inazaa Mapema: Kwa kuwa imeunganishwa, miche hii huanza kutoa matunda ndani ya miaka 2 na nusu hadi 3 baada ya kupandwa. Afya ya Mche: Imetunzwa vizuri kuepuka magonjwa ya ukungu yanayosumbua miche mchanga (kama vile Anthracnose na Late Blight). Mavuno Mengi: Mti mmoja uliokomaa na kutunzwa vizuri unaweza kutoa matunda 300 hadi 500+ kwa msimu.