Skip to content

DONDOO KUHUSU SOKO LA KUKU `Friends Nawakumbusha tu Hakuna Bidhaa ya mifugo iliyo na Soko endelevu bila kutumia nguvu ya Ziada Usidanganyike Rafiki No free marketFind & Fight for it Watu Huwa wananipigia simu Wanasema Nisaidie ni Kuku wapi nikifuga Soko lipo muda wote? Ni kweli, Soko linaweza kuwepo lakini siyo unalotaka wewe Tambua Soko

DIOFARM TZ
August 4, 2025

Maarifa ya ufugajiKatika Dunia ya Sasa ufugaji umekuwa ni ajiri na mkombozi Mkubwa wa watu wengi na kadri siku zinavyozidi kwenda ufugaji unazidi kukua zaidi na zaidi.Licha ya Kasi hiyo ya ukuaji wa sekta hii na watu wanaonufaika katika Ufugaji kuongezeka lakini Bado wafugaji wengi wanafuga kiholela sana na wengi hawajui nini Cha kufanya katika

DIOFARM TZ
July 31, 2025

Karika Dunia ya Sasa ufugaji umekuwa ni ajiri na mkombozi Mkubwa wa watu wengi na kadri siku zinavyozidi kwenda ufugaji unazidi kukua zaidi na zaidi. Licha ya Kasi hiyo ya ukuaji wa sekta hii na watu wanaonufaika katika Ufugaji kuongezeka lakini Bado wafugaji wengi wanafuga kiholela sana na wengi hawajui nini Cha kufanya katika muda

DIOFARM TZ
July 31, 2025

MAARIFA YA UFUGAJI KWA VITENDO BY DIOFARM TZ Morogoro, Tanzania Simu: 0755051870 Email: dionezio81@gmail.com UTANGULIZI Ndugu mfugaji,Karibu kwenye mkusanyiko wa maarifa ya ufugaji yaliyokusanywa kwa vitendo kupitia uzoefu, changamoto na mafanikio ya kila siku. Elimu hii imelenga kukuimarisha wewe mfugaji ili ufugaji wako uwe wa tija na faida. Ufugaji si tu kazi ya kawaida, bali

DIOFARM TZ
July 26, 2025

MAARIFA YA UFUGAJI KWA VITENDOBY DIOFARM TZMorogoro, TanzaniaSimu: 0755051870Email: dionezio81@gmail.comUTANGULIZINdugu mfugaji,Karibu kwenye mkusanyiko wa maarifa ya ufugaji yaliyokusanywa kwa vitendo kupitia uzoefu, changamoto na mafanikio ya kila siku. Elimu hii imelenga kukuimarisha wewe mfugaji ili ufugaji wako uwe wa tija na faida. Ufugaji si tu kazi ya kawaida, bali ni taaluma na biashara yenye nguvu

DIOFARM TZ
July 26, 2025