Karika Dunia ya Sasa ufugaji umekuwa ni ajiri na mkombozi Mkubwa wa watu wengi na kadri siku zinavyozidi kwenda ufugaji unazidi kukua zaidi na zaidi. Licha ya Kasi hiyo ya ukuaji wa sekta hii na watu wanaonufaika katika Ufugaji kuongezeka lakini Bado wafugaji wengi wanafuga kiholela sana na wengi hawajui nini Cha kufanya katika muda
MAARIFA YA UFUGAJI KWA VITENDOBY DIOFARM TZMorogoro, TanzaniaSimu: 0755051870Email: dionezio81@gmail.comUTANGULIZINdugu mfugaji,Karibu kwenye mkusanyiko wa maarifa ya ufugaji yaliyokusanywa kwa vitendo kupitia uzoefu, changamoto na mafanikio ya kila siku. Elimu hii imelenga kukuimarisha wewe mfugaji ili ufugaji wako uwe wa tija na faida. Ufugaji si tu kazi ya kawaida, bali ni taaluma na biashara yenye nguvu