Kuhusu Kilimocha.com
Kilimocha ni daraja lako la kidijitali linalounganisha teknolojia na kilimo nchini Tanzania. Lengo letu kuu ni kuhakikisha mkulima na mfugaji anapata matokeo bora zaidi kwa gharama nafuu.
Tunakuletea ushauri wa kitaalamu, taarifa za masoko, miongozo ya kisasa, na kukuunganisha na pembejeo bora. Katika Kilimocha, tunaamini kuwa kilimo cha kibiashara na chenye tija kinaanza na taarifa sahihi.