Hivi ndivyo matajiri wanavyofanya Biashara ya mazao na kuzidi kutajirika… 1: Wengi wa matajiri hawazalishi wenyewe — wanamiliki mnyororo wa thamani: HAWAISHI Mashambani, Lakini Wanamiliki Mzunguko Mzima • Wananunua mazao kwa bei ya chini msimu wa mavuno. • Wanayahifadhi kwenye maghala ya kisasa. • Wanauza mazao hayo miezi kadhaa baadae kwa bei ya juu. Wananunua