CV yako inatakiwa iwe fupi, rasmi, na ionyeshe ujuzi muhimu na uzoefu unaohitajika kwa kazi za uhasibu. Pia inapaswa kuakisi weledi, uaminifu na uwezo wa kufanya kazi kwa ufanisi. 1. Taarifa Binafsi (Personal Details) 2. Dhamira Binafsi (Career Objective/Profile Summary) Sentensi fupi 2–3 kueleza malengo na sifa zako kwa ufupi. Mfano: Mhasibu mzoefu, mwenye Diploma ya Uhasibu