Yaliyomo
DONDOO KUHUSU SOKO LA KUKU
`Friends
Nawakumbusha tu
Hakuna Bidhaa ya mifugo iliyo na Soko endelevu bila kutumia nguvu ya Ziada
Usidanganyike Rafiki
No free market
Find & Fight for it
Watu Huwa wananipigia simu
Wanasema Nisaidie ni Kuku wapi nikifuga Soko lipo muda wote?
Ni kweli, Soko linaweza kuwepo lakini siyo unalotaka wewe
Tambua
Soko unalolitamani wewe kwa bei nzuri haliwezi kuja free unless Bidhaa zako ni Bora sana
Soko la wengi siku zote lazima liwe na ushindani
Elewa mfugaji
Ukihitaji kuwa na Soko Bora na endelevu lazima ujitofautishe na wengine
Usisubiri tu wanunuzi waje bandani wakati Hauna uhakika na Bidhaa zako
Ubora
Wafugaji
Tuwe na msimamo na Soko letu
Ipe thamani Bidhaa yako
Fanya hesabu ujue Kuku umemzalisha kwa sh. Ngapi na uuzeje
Usiuze tu muhimu uingize wengine
Mfano
Kama Broiler Mmoja umemzalisha kwa 4500 kwa siku 26
Basi jipangie unahitaji faida kiasi gani kwa Kila broiler
Kama ni 2,000 Basi uza 6500
Hesabu
Epuka kwenda kibubu bubu kwenye suala la mradi
Watu wengi ukimuukiza kwa Batch hii Kila Kuku amekulipa sh. Ngapi?
Wengi hawawezi kujibu
Usiende hivo
All in all
Wengi wetu hatuna elimu juu ya miradi
Tunafuga tu sababu tuna mitaji na hatuna kazi nyingine za kufanya
Tafuta elimu please
Naweza kukusaidia
Karibu
Tufuge pamoja
DIOFARM TZ
0755051870
MOROGORO.