Skip to content

Katika kipindi cha miaka miwili iliyopita, sekta ya kilimo imepitia mabadiliko makubwa ambayo hayajawahi kushuhudiwa tangu ugunduzi wa mbolea za chumvichumvi. Mwaka 2026, neno “bahati” limeanza kufutika kwenye kamusi za wakulima wa nyanya. Badala yake, neno Akili Mnemba (Artificial Intelligence – AI) limechukua nafasi kubwa, likibadilisha kilimo kutoka kwenye kutegemea mazoea na kuwa sayansi kamilifu

vicentsimon95@gmail.com
April 28, 2026

Huduma Zetu 1. Mifumo ya Umwagiliaji kwa Nishati ya Jua (Solar Irrigation) Hii ni huduma muhimu ambapo Kilimocha inasaidia wakulima kufunga pampu za maji zinazotumia nishati ya jua. 2. Usambazaji wa Pembejeo za Kilimo (Agro-Input Supply) Kutoa au kuuza bidhaa zinazomsaidia mkulima kuanza msimu: 3. Ushauri wa Kitaalamu (Agro-Consultancy) 4. Teknolojia ya Kilimo (Agri-Tech Solutions)

vicentsimon95@gmail.com
April 22, 2026