Pembejeo za Kilimo (Agro-Input Supply)
Posted in :
Aina Kuu za Pembejeo:
- Mbegu: Mbegu bora zilizothibitishwa.
- Mbolea: Mbolea za kupandia na kukuzia (mfano: NPK).
- Viuatilifu (Pesticides): Dawa za wadudu, magonjwa, na magugu.
- Zana za Kilimo: Mashine ndogo, matrekta ya mkono, na zana za umwagiliaji.
- Dawa za Mifugo: Chanjo na dawa za kuua viroboto/kupe.
- Siri ya Mavuno ya Maharage: Kwa Nini Dawa ya Magugu Ni Bora Kuliko Jembe?
- KIONGOZI SHUPAVU WE 5120
- SHUJAA POWER 200 SC