Skip to content

426.5 BILIONI ZATOLEWA KWA WANAFUNZI 135,240 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Ijumaa, Oktoba 24,2025 imetoa awamu ya kwanza ya upangaji mikopo na ruzuku yenye jumla ya wanafunzi 135,240. Idadi hii inajumuisha wanafunzi wafuatato: i.      Wanafunzi 40,952 wa shahada ya awali na wanafunzi 5,342 wa stashahada waliopangiwa mikopo kiasi cha TZS. 152 bilioni. ii. 

Jackson Lwena
October 24, 2025

Kwa sasa, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) haijatoa orodha ya majina ya waombaji waliokosea katika maombi ya mkopo kwa mwaka wa masomo wa 2025/2026. Hata hivyo, ni muhimu kufahamu jinsi ya kuangalia na kurekebisha makosa katika maombi yako ili kuhakikisha mchakato wako wa kuomba mkopo unakamilika kwa mafanikio. Hatua za

thiszmenasog@gmail.com
June 23, 2025