Skip to content

​Wakulima wengi wa maharage hukwama kwenye hatua ya uvunaji. Unaweza kuwa na mbegu bora (kama mbarika au soya) na mbolea ya kutosha, lakini bado ukaishia kupata gunia chache. ​Siri kubwa iliyofichika ni udhibiti wa magugu. ​Magugu ni adui namba moja wa maharage kwa sababu yana tabia ya “kunyang’anyana” maisha na mmea wako. Katika makala haya,

Jackson Lwena
March 20, 2026

KIONGOZI SHUPAVU WE KIONGOZI SHUPAVU WE 5120 🌱 Tunawaletea KIONGOZI SHUPAVU WE 5120Mahindi Yako Bora ya Hali Yoyote ya Hewa! 🌱 Unatafuta mbegu ya mahindi inayostahimili ukame na kutoa mavuno mengi, inayoweza kustawi vizuri kila mahali? KIONGOZI SHUPAVU WE 5120 ndiyo chaguo lako bora! Iwe upo bondeni, maeneo ya kati, au sehemu za milimani, aina

Jackson Lwena
July 27, 2025

Dhibiti VIWAVI na wadudu wengine waharibifu katika mazao ya nyanya kwa SHUJAA POWER 200 SC msimu huu wa mvua! Imetengenezwa na Emamectin benzoate 40g/L + indoxacarb 160g/L. Kiuwa dudu hichi kinafanya kazi ya kuua wadudu kwa njia ya kugusa na kumeza, inayotoa athari ya haraka. Inatoa ulinzi wa kudumu kwa kutengeneza kizuizi kinachozuia kurudi kwa

Jackson Lwena
July 26, 2025