Shamba liandaliwe si chini ya miezi miwili (2) kabla ya kupanda kwa kuzingatia kanuni bora za uzalishaji wa zao la parachichi. Mpangilio Nafasi za upandaji hutegemea sifa za ukuaji, aina ya parachichi, aina ya udongo, hali ya rutuba, ikolojia na kanuni za kilimo bora. Miche ipandwe kwa nafasi zilizopendekezwa kitalaam, kama inavyoainishwa katika Jedwali Na
Uchaguzi wa eneo la kuanzisha shamba la parachichi ni uamuzi muhimu kwa ajili ya uzalishaji. Eneo lilipo shamba huathiri uzalishaji, ubora na masoko ya zao, uendelezaji wa shamba, udhibiti wa visumbufu vya mazao na ufikishaji wa mazao sokoni. Masuala muhimu ya kuzingatia katika uchaguzi wa eneo la shamba parachichi ni yafuatayo:
Aina na Sifa za Parachichi Katika ulimwengu wa kilimo cha parachichi, kuna aina mbalimbali ambazo zina sifa tofauti. Hapa nchini, aina zinazopatikana kwa wingi ni pamoja na Hass, Fuerte, Pinkerton, Ex-Ikulu, Nabal, Ettinger, Zutano, na Waisal. Kila aina ina sifa yake mahsusi kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali Na. 1. Jedwali Na. 1: Baadhi ya Aina za
Aina mpya ya avocado, inayolimwa kwenye mti mdogo na rahisi kuvuna kuliko aina ya Hass, itapatikana hivi karibuni kwa wakulima katika soko la ulimwengu. Inajulikana kama Luna UCR, aina hii mpya imetolewa na Chuo Kikuu cha California, Riverside (UCR) baada ya miaka hamsini ya ufugaji na maendeleo. Tofauti na aina ya Hass ya kijani kibichi,
Utangulizi Parachichi, au Persea Americana, ni tunda lenye virutubisho muhimu sana kwa mwili wa binadamu. Tunda hili si tu linachangia afya, bali pia linasaidia kuongeza kipato kwa familia na taifa. Aina za Parachichi A: Parachichi za Asili Miti yake huwa mirefu lakini mavuno yake ni machache. B: Aina za Kisasa/Chotara Hass Sifa kuu-lina vipere vipere