Kwenye ulimwengu wa kilimo biashara Tanzania, Kilimo cha Nyanya ndicho kinachoitwa “Mchezo wa Hatari” (High Risk, High Return). Unaweza kuwa milionea ndani ya miezi mitatu, au ukapoteza mtaji wako wote usipozijua siri za ndani. Je, unateseka na magonjwa yanayokauka shamba zima? Au unavuna wakati bei imeshuka hadi Sh. 5,000 kwa kreti? Leo tunafichua siri za