MAARIFA NA MSINGI BORA KATIKA UFUGAJI

Maarifa ya ufugajiKatika Dunia ya Sasa ufugaji umekuwa ni ajiri na mkombozi Mkubwa wa watu wengi na kadri siku zinavyozidi kwenda ufugaji unazidi kukua zaidi na zaidi.Licha ya Kasi hiyo ya ukuaji wa sekta hii na watu wanaonufaika katika Ufugaji kuongezeka lakini Bado wafugaji wengi wanafuga kiholela sana na wengi hawajui nini Cha kufanya katika …

Maarifa ya ufugaji

Karika Dunia ya Sasa ufugaji umekuwa ni ajiri na mkombozi Mkubwa wa watu wengi na kadri siku zinavyozidi kwenda ufugaji unazidi kukua zaidi na zaidi. Licha ya Kasi hiyo ya ukuaji wa sekta hii na watu wanaonufaika katika Ufugaji kuongezeka lakini Bado wafugaji wengi wanafuga kiholela sana na wengi hawajui nini Cha kufanya katika muda …

KIONGOZI SHUPAVU WE 5120

KIONGOZI SHUPAVU WE KIONGOZI SHUPAVU WE 5120 🌱 Tunawaletea KIONGOZI SHUPAVU WE 5120Mahindi Yako Bora ya Hali Yoyote ya Hewa! 🌱 Unatafuta mbegu ya mahindi inayostahimili ukame na kutoa mavuno mengi, inayoweza kustawi vizuri kila mahali? KIONGOZI SHUPAVU WE 5120 ndiyo chaguo lako bora! Iwe upo bondeni, maeneo ya kati, au sehemu za milimani, aina …

Biashara ya Nafaka Tanzania

Hivi ndivyo matajiri wanavyofanya Biashara ya mazao na kuzidi kutajirika… 1: Wengi wa matajiri hawazalishi wenyewe — wanamiliki mnyororo wa thamani: HAWAISHI Mashambani, Lakini Wanamiliki Mzunguko Mzima • Wananunua mazao kwa bei ya chini msimu wa mavuno. • Wanayahifadhi kwenye maghala ya kisasa. • Wanauza mazao hayo miezi kadhaa baadae kwa bei ya juu. Wananunua …

Maandalizi ya Shamba la Parachichi | Mifumo ya upandaji

Shamba liandaliwe si chini ya miezi miwili (2) kabla ya kupanda kwa kuzingatia kanuni bora za uzalishaji wa zao la parachichi. Mpangilio Nafasi za upandaji hutegemea sifa za ukuaji, aina ya parachichi, aina ya udongo, hali ya rutuba, ikolojia na kanuni za kilimo bora. Miche ipandwe kwa nafasi zilizopendekezwa kitalaam, kama inavyoainishwa katika Jedwali Na …

Kanuni bora za uzalishaji wa zao la parachichi

Aina na Sifa za Parachichi Katika ulimwengu wa kilimo cha parachichi, kuna aina mbalimbali ambazo zina sifa tofauti. Hapa nchini, aina zinazopatikana kwa wingi ni pamoja na Hass, Fuerte, Pinkerton, Ex-Ikulu, Nabal, Ettinger, Zutano, na Waisal. Kila aina ina sifa yake mahsusi kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali Na. 1. Jedwali Na. 1: Baadhi ya Aina za …

Zao la parachichi Tanzania

Utangulizi wa Parachichi (Persea Americana) Parachichi ni tunda lenye umuhimu mkubwa katika lishe na uchumi wa familia na Taifa. Likiwa na asili kutoka maeneo ya kusini, kati, na kaskazini mwa Amerika, parachichi ni moja ya matunda yenye virutubisho vingi, ikiwa ni pamoja na vitamini A, C, E, K, na madini kama magnesiamu na potasiamu. Kwa …

Ni aina gani mpya ya parachichi?

Aina mpya ya avocado, inayolimwa kwenye mti mdogo na rahisi kuvuna kuliko aina ya Hass, itapatikana hivi karibuni kwa wakulima katika soko la ulimwengu. Inajulikana kama Luna UCR, aina hii mpya imetolewa na Chuo Kikuu cha California, Riverside (UCR) baada ya miaka hamsini ya ufugaji na maendeleo. Tofauti na aina ya Hass ya kijani kibichi, …