Skip to content

Dhibiti VIWAVI na wadudu wengine waharibifu katika mazao ya nyanya kwa SHUJAA POWER 200 SC msimu huu wa mvua! Imetengenezwa na Emamectin benzoate 40g/L + indoxacarb 160g/L. Kiuwa dudu hichi kinafanya kazi ya kuua wadudu kwa njia ya kugusa na kumeza, inayotoa athari ya haraka. Inatoa ulinzi wa kudumu kwa kutengeneza kizuizi kinachozuia kurudi kwa

Jackson Lwena
July 26, 2025