Majina ya Waliochaguliwa Kujiunga na NIT (National Institute of Transport) Tanzania Katika mwaka wa masomo, NIT (National Institute of Transport) inaendelea kutoa fursa mbalimbali za elimu kwa wanafunzi wa Tanzania na nje ya nchi. Kila mwaka, chuo hiki kinawakaribisha wanafunzi wapya kwa ajili ya masomo ya ngazi mbalimbali, kuanzia diploma hadi shahada za juu. Huu
KIONGOZI SHUPAVU WE KIONGOZI SHUPAVU WE 5120 🌱 Tunawaletea KIONGOZI SHUPAVU WE 5120Mahindi Yako Bora ya Hali Yoyote ya Hewa! 🌱 Unatafuta mbegu ya mahindi inayostahimili ukame na kutoa mavuno mengi, inayoweza kustawi vizuri kila mahali? KIONGOZI SHUPAVU WE 5120 ndiyo chaguo lako bora! Iwe upo bondeni, maeneo ya kati, au sehemu za milimani, aina
Hivi ndivyo matajiri wanavyofanya Biashara ya mazao na kuzidi kutajirika… 1: Wengi wa matajiri hawazalishi wenyewe — wanamiliki mnyororo wa thamani: HAWAISHI Mashambani, Lakini Wanamiliki Mzunguko Mzima • Wananunua mazao kwa bei ya chini msimu wa mavuno. • Wanayahifadhi kwenye maghala ya kisasa. • Wanauza mazao hayo miezi kadhaa baadae kwa bei ya juu. Wananunua
Shamba liandaliwe si chini ya miezi miwili (2) kabla ya kupanda kwa kuzingatia kanuni bora za uzalishaji wa zao la parachichi. Mpangilio Nafasi za upandaji hutegemea sifa za ukuaji, aina ya parachichi, aina ya udongo, hali ya rutuba, ikolojia na kanuni za kilimo bora. Miche ipandwe kwa nafasi zilizopendekezwa kitalaam, kama inavyoainishwa katika Jedwali Na
Uchaguzi wa eneo la kuanzisha shamba la parachichi ni uamuzi muhimu kwa ajili ya uzalishaji. Eneo lilipo shamba huathiri uzalishaji, ubora na masoko ya zao, uendelezaji wa shamba, udhibiti wa visumbufu vya mazao na ufikishaji wa mazao sokoni. Masuala muhimu ya kuzingatia katika uchaguzi wa eneo la shamba parachichi ni yafuatayo:
Aina na Sifa za Parachichi Katika ulimwengu wa kilimo cha parachichi, kuna aina mbalimbali ambazo zina sifa tofauti. Hapa nchini, aina zinazopatikana kwa wingi ni pamoja na Hass, Fuerte, Pinkerton, Ex-Ikulu, Nabal, Ettinger, Zutano, na Waisal. Kila aina ina sifa yake mahsusi kama ilivyoainishwa kwenye Jedwali Na. 1. Jedwali Na. 1: Baadhi ya Aina za
Utangulizi wa Parachichi (Persea Americana) Parachichi ni tunda lenye umuhimu mkubwa katika lishe na uchumi wa familia na Taifa. Likiwa na asili kutoka maeneo ya kusini, kati, na kaskazini mwa Amerika, parachichi ni moja ya matunda yenye virutubisho vingi, ikiwa ni pamoja na vitamini A, C, E, K, na madini kama magnesiamu na potasiamu. Kwa
Aina mpya ya avocado, inayolimwa kwenye mti mdogo na rahisi kuvuna kuliko aina ya Hass, itapatikana hivi karibuni kwa wakulima katika soko la ulimwengu. Inajulikana kama Luna UCR, aina hii mpya imetolewa na Chuo Kikuu cha California, Riverside (UCR) baada ya miaka hamsini ya ufugaji na maendeleo. Tofauti na aina ya Hass ya kijani kibichi,
Utangulizi Parachichi, au Persea Americana, ni tunda lenye virutubisho muhimu sana kwa mwili wa binadamu. Tunda hili si tu linachangia afya, bali pia linasaidia kuongeza kipato kwa familia na taifa. Aina za Parachichi A: Parachichi za Asili Miti yake huwa mirefu lakini mavuno yake ni machache. B: Aina za Kisasa/Chotara Hass Sifa kuu-lina vipere vipere