Kuandika CV rahisi kwa ajili ya maombi ya kazi katika sekta ya Sanaa (Sanaa ya Maonyesho, Muziki, Ukilishi, nk) ni muhimu ili kuonyesha taaluma na vipaji vyako kwa mwajiri. Pia, barua ya maombi inapaswa kuwa wazi na kuonyesha kwa nini unafaa kazi hiyo. Hapa kuna mwongozo wa kuandaa CV na barua ya maombi kwa ufanisi: …
Jinsi ya kuandika CV kwaajili ya maombi ya kazi ya sekta ya Sanaa
