Skip to content

Kampuni ni nini? Kampuni ni mjumuiko wa watu wawili au zaidi wenye nia ya kufanya biashara halali na kuusajili mjumuiko huo chini ya Sheria ya kampuni. Aina za Kampuni Faida za Urasimishaji Kampuni ni zipi? Vigezo vya kusajili Kampuni Nyaraka za kuambatisha Hatua 10 za kusajili Kampuni

thiszmenasog@gmail.com
June 25, 2025

OFISI YA RAISTAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOMBEKumb. Na. BDC/E.40/7/95 23 JUNI, 2025TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIMkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe amepokea kibali cha Ajira mpyakutoka kwa Katibu Mkuu OR – Utumishi chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 chatarehe 29.04.2025. Hivyo anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa kutumamaombi kwa kada Tatu

thiszmenasog@gmail.com
June 24, 2025

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZIKufuatia idhini ya utekelezaji wa ajira mpya kwa mwaka wa fedha 2023/2024, kwa kibalichenye Kumb. Na. Kumb. Na. FA. 97/228/01/A/25 cha tarehe 29-04-2025, kutoka kwaKatibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino anawatangaziaWatanzania wote wenye sifa za kujaza nafasi

thiszmenasog@gmail.com
June 24, 2025

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA NASERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI)HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOSHI24/06/2025TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi amepokea kibali kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora kilichotoa idhini ya utekelezaji wa nafasi za Ajira Mpya

thiszmenasog@gmail.com
June 24, 2025

Job Opportunities at Different Councils, June 2025 Job Opportunities at Different Councils, June 2025 Both mainland Tanzania and Zanzibar have local authorities. On the mainland, there are three types of urban authority: city, municipal and town councils. In rural areas there are two levels of authority: district councils, and village council and township authorities. On Zanzibar,

richard nchimbi
June 4, 2025

Kuingia kwenye TRA portal ni rahisi kama unafuata hatua hizi: Hatua za Kuingia TRA Portal 4. Ingia kwa akaunti yako 5. Tumia portal hiyo Baada ya kuingia, utaweza kuona taarifa za kazi zilizopo, kuwasilisha maombi, kupakia nyaraka kama CV na barua ya maombi, na kufuatilia hali ya maombi yako. Muhimu:

richard nchimbi
June 2, 2025

Kuandika CV kwa ajili ya kazi za utafiti ni mchakato unaohitaji mwangalifu mkubwa na kuonesha kwa uwazi ujuzi, uzoefu, elimu, na mafanikio yanayohusiana na taaluma ya utaftaji. Watafiti wanahitajika kuwa na uwezo wa kufanya uchambuzi wa kina, kuandaa ripoti, na kushiriki katika miradi mbalimbali ya kielimu au kisayansi. Katika makala hii, nitakuonyesha jinsi ya kuandaa

richard nchimbi
June 2, 2025