Skip to content

Katika dunia ya leo ya kiteknolojia, kupata ajira imekuwa rahisi zaidi kupitia majukwaa ya kidigitali kama Ajira Portal Tanzania. Mfumo huu ni jukwaa rasmi lililoundwa na Serikali ya Tanzania kwa lengo la kurahisisha mchakato wa utaalamu, kutafuta na kupata ajira kwa njia ya mtandaoni. Kujisajili kwenye Ajira Portal ni hatua ya msingi kwa kila mtu

richard nchimbi
May 29, 2025

Jinsi ya Kuwezesha Akaunti Yako Katika Ajira Portal: Mwongozo Kamili wa Hatua kwa Hatua Ajira Portal ni jukwaa rasmi la ajira nchini Tanzania ambalo limetengenezwa kwa lengo la kurahisisha mchakato wa kutafuta na kupata ajira kwa wananchi kupitia njia ya mtandaoni. Hii ni hatua kubwa katika kuhakikisha kuwa huduma za ajira zinapatikana kwa urahisi kwa

richard nchimbi
May 29, 2025

Kumb.Na.JA.9/259/01/B/120 TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya MDAs & LGAs anapendakuwataarifu Waombaji Kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanziatarehe 17-01-2025 hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.Wasailiwawanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:- 1. Usaili utafanyika kuanzia tarehe kama

thiszmenasog@gmail.com
January 12, 2025

TANGAZO Kuitwa kwenye Usaili mwezi wa kwanza ( call for interview January) Kuitwa kwenye Usaili mwezi wa Pili ( call for interview February) Kuitwa kwenye Usaili mwezi wa wa tatu ( call for interview March) KUITWA KWENYE USAILI (INTERVIEW) KWA AJILI YA POSTI ZA UMMA Ofisi ya Utumishi wa Umma inapenda kutoa taarifa kwa waombaji

thiszmenasog@gmail.com
January 7, 2025

Ajira Mpya Zilizotangazwa Ajira Portal leo Leo, tumepewa furaha ya kutangaza nafasi mpya za ajira kupitia Ajira Portal, jukwaa linalotumiwa na serikali ya Tanzania na wadau mbalimbali katika kufanikisha ushirikiano wa ajira nchini. Witakua ni fursa muhimu kwa vijana na watanzania wengine wanaotafuta ajira ili kuweza kumudu maisha yao na kuchangia katika maendeleo ya nchi.

thiszmenasog@gmail.com
January 7, 2025