Skip to content

Kuandika CV rahisi kwa ajili ya maombi ya kazi katika sekta ya Sanaa (Sanaa ya Maonyesho, Muziki, Ukilishi, nk) ni muhimu ili kuonyesha taaluma na vipaji vyako kwa mwajiri. Pia, barua ya maombi inapaswa kuwa wazi na kuonyesha kwa nini unafaa kazi hiyo. Hapa kuna mwongozo wa kuandaa CV na barua ya maombi kwa ufanisi:

richard nchimbi
June 1, 2025

1. Tafuta Nafasi Zilizotangazwa Rasmi 2. Soma Maelezo na Mahitaji ya Kazi (Job Description & Requirements) 3. Andaa Nyaraka Muhimu za Maombi 4. Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Nafasi ya Sanaa Mfano wa Kichwa cha Barua: Mwisho: Niko tayari kutumia uwezo na ubunifu wangu katika kukuza sanaa ndani ya taasisi yenu. Nimeambatanisha orodha ya kazi zangu (portfolio)

richard nchimbi
June 1, 2025