Skip to content

Sekta ya Ufundi na Huduma inatoa ajira nyingi nchini Tanzania, hasa kwa wale waliohitimu kwenye vyuo vya ufundi, VETA, FDC na kozi za ufundi stadi. Ajira hizi zinapatikana kwenye sekta za umeme, magari, useremala, uashi, ujenzi, welding, refrigeration, umeme wa majumbani na viwandani, plumbing, urembo, saluni, ushonaji, matunzo ya magari, huduma za jamii, na zaidi.

richard nchimbi
June 1, 2025