Sekta za Kodi (Taxation) na Ulinzi wa Jamii (Social Protection) ni muhimu kwa maendeleo ya taifa na ustawi wa jamii. Ajira zinaweza kupatikana kwenye mamlaka za serikali kama TRA, NSSF, NHIF, PSSSF, makampuni ya bima, NGOs, na kampuni binafsi zinazotoa huduma za ushauri wa kodi au kutekeleza miradi ya ustawi wa jamii. Ikiwa unatafuta nafasi
Ajira katika sekta ya Ulinzi (security) ni muhimu sana kwa usalama wa watu, mali na taasisi nchini. Kazi hizi zinapatikana kwenye kampuni za ulinzi binafsi, mashirika ya serikali, mabalozi, benki, hoteli, taasisi za elimu, makampuni ya mafuta, viwanda, minara ya simu na miradi mikubwa ya ujenzi. Ajira hizi ni pamoja na walinzi (security guards), wasimamizi