Sekta ya Ununuzi na Usimamizi wa Ugavi ni muhimu katika kuhakikisha bidhaa na huduma zinapatikana kwa wakati na kwa gharama nafuu kwa mashirika, kampuni, taasisi za serikali, NGOs, na biashara zote kubwa na ndogo. Fani hii inatoa ajira nyingi kama Procurement Officer, Supply Chain Officer, Logistics Officer, Storekeeper, Warehouse Manager, Buyer na zingine nyingi. Ikiwa