Sekta ya Usafirishaji na Usimamizi wa Usafiri ni muhimu sana katika kukuza biashara, uchumi na maendeleo ya kijamii Tanzania. Ajira katika sekta hii zinapatikana kwenye kampuni za mabasi, malori, reli (TRC), bandari (TPA), viwanja vya ndege (TAA), mashirika ya ndege, makampuni ya logistics, clearing & forwarding, kampuni za delivery, na pia kwenye taasisi na makampuni