Sekta ya Utalii na Usafiri ni moja ya injini kuu za uchumi nchini Tanzania, na hutoa ajira nyingi kwa wahitimu wa viwango mbalimbali vya elimu na uzoefu. Kazi kwenye sekta hii zinahusisha kazi kwenye hoteli, kampuni za utalii, makampuni ya usafirishaji, viwanja vya ndege, mbuga za wanyama, mashirika ya ndege, tour companies, mamlaka za serikali