PIMA AFYA YA UDONGO LEO Nini hupimwa kwenye udongo kwa ajili ya kilimo? Wasiliana nasi0768259410/0628520448Makambako town council
Dhibiti VIWAVI na wadudu wengine waharibifu katika mazao ya nyanya kwa SHUJAA POWER 200 SC msimu huu wa mvua! Imetengenezwa na Emamectin benzoate 40g/L + indoxacarb 160g/L. Kiuwa dudu hichi kinafanya kazi ya kuua wadudu kwa njia ya kugusa na kumeza, inayotoa athari ya haraka. Inatoa ulinzi wa kudumu kwa kutengeneza kizuizi kinachozuia kurudi kwa