
Maarifa ya ufugajiKatika Dunia ya Sasa ufugaji umekuwa ni ajiri na mkombozi Mkubwa wa watu wengi na kadri siku zinavyozidi kwenda ufugaji unazidi kukua zaidi na zaidi.Licha ya Kasi hiyo ya ukuaji wa sekta hii na watu wanaonufaika katika Ufugaji kuongezeka lakini Bado wafugaji wengi wanafuga kiholela sana na wengi hawajui nini Cha kufanya katika muda gani na namna ipi matokeo yake wengi hujikuta hawapati manufaa au matokeo yale waliyo tarajia.
Nini sababu kuu ya watu kufeli?
watu wengi huingia katika Ufugaji kwa kuona jirani au Rafiki yake anafuga na bila kukaa nae chini na kumuuliza amefanyaje kufikia hapo na changamoto zote anazopitia, mfugaji huyo huamua kujenga Banda au kukodi, kuagiza vifaranga na kuanza kufuga matokeo yake anatembea gizani bila kuzijua kanuni na taratibu zote za ufugaji na hii hupelekea kupata matatizo na changamoto nyingi kama vile vifo vingi, Kuku kudumaa, kukosa Soko, kupata Mbegu isiyo Bora nk..
Kama mfugaji nini ufanye?
Kila sekta Ina Msingi wake, vivyo hivyo ufugaji una Msingi wake ambao ni lazima ujenge Msingi imara Ili kuhakikisha Unapata faida na Msingi Mkuu katika Ufugaji ni MAARIFA NA ELIMU JUU YA KANUNI NA MIONGOZO BORA YA UFUGAJI.Kama mfugaji lazima Hakikisha unakuwa imara na kuvijua vitu hivi;UJENZI WA BANDA BORA, MBEGU BORA YA KUFUGA, CHAKULA BORA, USIMAMIZI NA UENDESHAJI BORA.
Je haya yote utayapataje?
DIOFARM TZ tumekuandalia Vitabu na makala ambavyo vitakuongoza kuwa imara na kutengeneza Msingi Bora katika Ufugaji wako.Tunavyo Vitabu tofauti kama vile;UFUGAJI BORA WA MIFUGO YOTE, UFUGAJI BORA WA KUKU NA UTENGENEZAJI WA CHAKULA BORA CHA KUKU, ULEAJI WA VIFARANGA NA MAKALA BORA KWA UFUGAJI WA KUKUVitabu hivi vipo katika mfumo wa soft copy na Kila kimoja soft copy ni 5,000.Kwa bei ya OFA Vyote tunauza kwa 12,000 Tu.
Pia Hakikisha unazijua gharama zote za ufugaji kabla hujaanza.Tunaandaa business plan kwa bei nafuu kwa Kuku aina zote.Kuanzia 15,000 Hadi 40,000 kulingana na mahitaji yako.

Wasiliana nasi kwa 0755051870
Email: dionezio81@gmail.com
DIOFARM TZ.