Maarifa ya ufugaji

Share this post on:

Karika Dunia ya Sasa ufugaji umekuwa ni ajiri na mkombozi Mkubwa wa watu wengi na kadri siku zinavyozidi kwenda ufugaji unazidi kukua zaidi na zaidi.

Licha ya Kasi hiyo ya ukuaji wa sekta hii na watu wanaonufaika katika Ufugaji kuongezeka lakini Bado wafugaji wengi wanafuga kiholela sana na wengi hawajui nini Cha kufanya katika muda gani na namna ipi matokeo yake wengi hujikuta hawapati manufaa au matokeo yale waliyo tarajia.

Nini sababu kuu ya watu kufeli?

watu wengi huingia katika Ufugaji kwa kuona jirani au Rafiki yake anafuga na bila kukaa nae chini na kumuuliza amefanyaje kufikia hapo na changamoto zote anazopitia, mfugaji huyo huamua kujenga Banda au kukodi, kuagiza vifaranga na kuanza kufuga matokeo yake anatembea gizani bila kuzijua kanuni na taratibu zote za ufugaji na hii hupelekea kupata matatizo na changamoto nyingi kama vile vifo vingi, Kuku kudumaa, kukosa Soko, kupata Mbegu isiyo Bora nk…

Nini kama Mfugaji ufanje kabla ya kuanza kufuga?

Katika Kila sekta au kitu chochote hapa duniani lazima ujue Msingi wake Mkuu na uujenge kwa Uimara zaidi.

Katika Ufugaji Kitu Cha kwanza kabla ya yote ni ELIMU (MAARIFA NA MIONGOZO YA UFUGAJI)

Kama mfugaji hakikisha umepata elimu katika maeneo makuu haya;

Share this post on:

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Need Help?