PIMA AFYA YA UDONGO LEO
Nini hupimwa kwenye udongo kwa ajili ya kilimo?
- Tindikali ya udongo iliyopo kwenye udongo huathiri sana upatikanaji wa virutubisho kwenye mmea.
- Uwezo wa udongo kuachia virutubisho (CEC) Hii ni urahisi wa udongo wako kuvigeuza virtubiaho vilivyopo kuwa tayari kutumika kwa mmea
- Virutubisho msingi (NPK) huwa tunaangalia kiwango cha virutubisho hivyo kwenye udongo ili kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya mbolea
- Virutubisho vidogovidogo, hivi ni virutubisho ambavyo havihitajiki kwa wingi lakini nimuhimu sanaa sanaa kwa maisha ya mmea na huathiri mavuno sanaa vinapokua vimekosekana
Wasiliana nasi
0768259410/0628520448
Makambako town council
