Share this post on:

PIMA AFYA YA UDONGO LEO

Nini hupimwa kwenye udongo kwa ajili ya kilimo?

  1. Tindikali ya udongo iliyopo kwenye udongo huathiri sana upatikanaji wa virutubisho kwenye mmea.
  2. Uwezo wa udongo kuachia virutubisho (CEC) Hii ni urahisi wa udongo wako kuvigeuza virtubiaho vilivyopo kuwa tayari kutumika kwa mmea
  3. Virutubisho msingi (NPK) huwa tunaangalia kiwango cha virutubisho hivyo kwenye udongo ili kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya mbolea
  4. Virutubisho vidogovidogo, hivi ni virutubisho ambavyo havihitajiki kwa wingi lakini nimuhimu sanaa sanaa kwa maisha ya mmea na huathiri mavuno sanaa vinapokua vimekosekana

Wasiliana nasi
0768259410/0628520448
Makambako town council

Fuga kuku kisasa na master cage

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Need Help?