Share this post on:

Dhibiti VIWAVI na wadudu wengine waharibifu katika mazao ya nyanya kwa SHUJAA POWER 200 SC msimu huu wa mvua!

sumu za kuua wadudu shambani

Viambata amirifu

Imetengenezwa na Emamectin benzoate 40g/L + indoxacarb 160g/L.

Ufanyaji kazi

Kiuwa dudu hichi kinafanya kazi ya kuua wadudu kwa njia ya kugusa na kumeza, inayotoa athari ya haraka. Inatoa ulinzi wa kudumu kwa kutengeneza kizuizi kinachozuia kurudi kwa wadudu, kuhakikisha afya bora ya mazao na mavuno yenye tija.

Matumizi

Tumia kwa kiwango cha 250 ml/Ha (5ml katika lita 20 za maji) ili kudhibiti shinikizo la wadudu na kulinda uwekezaji wako.

vifungashio

Inapatikana katika vifungashio vya lita 1, 250ml, 100ml, na 50ml. SHUJAA POWER 200 SC ni suluhisho muhimu kwa kudumisha uzalishaji na faida katika kilimo cha nyanya.

Chukua hatua haraka ili kudhibiti idadi ya wadudu kabla ya kuwa kubwa!




#Kilimo Cha Kisasa #Agribase international bioscience
Tweet

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Need Help?